Vesterjtz Serikali kuendeleza viwanda vidogo Ili Kutatua tatizo la Ajira nchini

  • Uploaded On Jan 14, 2017
  • Album: TASCAM DR-07MK2
  • Producer: #Mtz
  • Added by: Vesterjtz
8 0
00:00
00:00

Description

Kutokana na kuwepo kwa tatizo la Ajira kwa Vijana nchini Serikali imejipanga kukatua tatizo hilo kwa kuendeleza viwanda vidogo vidogo Ili kusaidia Kutatua tatizo la Ajira nchini

Hayo yamesemwa na Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi vijana ajira pamoja na watu wenye ulemavu Anthony Mavunde..............